Madhara ya kwenda na mke baa
Jamaa alienda Bar na mke wake wa ndoa, wakakaa kwenye viti, wakati wanasubiri vinywaji akapita binti mmoja mremb Sana anayejiuza, akamsogelea yule mke wa jamaa
akamnong’oneza:- “AKULIPE KABISA KABLA HUJALALA NAYE, NI MGUMU MNO KULIPA HUYOO!!.
HALAFU HUWA HATUMII KONDOMU…”
Badala ya starehe ilifuatia songombingo ya kufa mtu!!!