Vituko mitandaoni. Tupia chako

Last time nilijua haya mambo ni jokes kumbe kweli kabisa.. kuna moja inasema eti jifunze jinsi ya kuinua kiti cha blue kutoka ardhini ikapata viewers 1.2M
Nyingine eti jifunze kufunga mlango maviu kibao...
Yaani kuna watu wajinga duniani
Hiyo ya mlango kuna jamaa alitoa comment akimuomba huyo aliye upload hiyo video kua next tutorial afanye kwenye dirisha....nilichekaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…