google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,872
Macho kama mandongaALIYETANGAZA KUWA NI SHOGA ATANGAZA KUOLEWA.
Mwaka jana zilienea taarifa za kusikitisha zilizowaacha watu vinywa wazi, ni baada ya mwanamuziki wa kundi la Sauti SOUL Chimanno kutoka Kenya kujitangaza kuwa yeye ni shoga,
Watu wengi walionyesha kukeleka na kundi la sauti soul lilipoteza mashabiki wengi sana.
Ni miezi kadhaa imepita na sasa Chimano ametangaza kuwa tayari ana mume wake ambaye yupo Ujerumani na wanampango wa kufunga ndoa hivi karibuni.View attachment 2310564
Baby kazime taa View attachment 2310336
Africa raw material zinatoka nyingi sana, sema ni raw na siyo product...World kivipi, sijaona Afrika hapo, au sisi tunawapa mali ghafi tu.
Vitu vya SYB hivi, yuko wapi huyu babu[emoji16]Chioma aachia mvuto mpya wa chuchu zake saa sita zinazowanyima usingizi wanaume wengi.View attachment 2310723
Hatari
[emoji16][emoji16][emoji3]