Vituko mitandaoni. Tupia chako

Majanga !

Dada Huyu ameenda saloon akiwa na mpenzi wake, gharama za kutengeneza nywele zikawa ni kubwa Sana ila mwanadada hakujali akajiweka kwa hairdresser ,

jamaa kuona hivyo akaaga Kuwa anatoka kidogo atarudi demu aendelee kutengenezwa nywele. Kumbe jamaa ndio alisepa moja kwa moja hakurudi tena.

Muda kuona unapita jamaa hapokei simu demu kachanganyikiwa, hairdresser akachukuwa mkasi na kufumua kichwa cha huyo mrembo Kama anavyoonekana !


Vijana Mungu anawaona


Wanaume tunaroho mbaya sana, kama unajua kua hauna hela unampelekaje mtoto wa watu saloon?

Angalia huyo msusi anavokata izo nywele, yaani kamuacha na kipara
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…