keshakuwa mume wangu
Mshana Jr uwe shahidi nimeshapewa mume mie. Ila seriously mkuu mimi nadhani una ishu personal na huyu bwana maana kama ni hapa kwenye uzi nipo siku zote sijawahi kuona anamvunjia mtu heshima kwa makusudi. Kama kuna mahali alikukwaza ungesema tu kwa lugha nyepesi matusi hayana tija