KiPOFU:
Sara anatoka kuoga bafuni akiwa na kanga moja tu anaskia hodi,
Kufungua mlango akakuta ni jirani yake Frank ambaye ni kipofu, akamkaribisha ndani akakaa.
Sara kavua ile kanga, akabaki uchi akainama akaanza kujipaka mafuta akijua Frank hamuoni na mazungumzo yakawa yanaendelea..
Sara: VIPI FRANK MBONA UMEPOTEA, YAANI HUONEKANI SIKU KiBAO..?
FRANK: AAH, NILIENDA INDIA KUFANYIWA OPERESHENI YA MACHO, NASHUKURU YAMEPONA, SASA HIVI NAONA VIZURI KABISAAA!β¦πππππ»ππ»ππ»ππ»ππ»"