RB/Mby/25.6./Sokoine/Blenda.2022
Imeripotiwa upotevu wa blenda ya kutengenezea juisi/shurubati ya parachichi pale Mbeya karibu na uwanja wa Sokine.
Dola linaendelea na uchunguzi, kama una taarifa zozote muhimu toa taarifa kituo cha jeshi karibu nawe!
Nb. Mishikio ya kinu cha blenda imefungiwa kwa screw mbilimbili.
Imesainiwa.
View attachment 2273162