Nimekumbuka hospital ya plan pale buguruni,
Niliambiwa nipeleke mkojo,mkojo nilikojoa kiasi then nilikuwa na bleed yaan,nikamwaga ule mkojo maana nilishaharibu
Nikatia maji,,,,nikapewa majibu kuwa nina mimba
Nikaambiwa nianze klinik chapu
View attachment 2269703