Ukaoge sasaUtani tag...
Niletee birika nichemshe maji, unaleta nakuondoka hata hukai...Ukaoge sasa
Oga ya baridiNiletee birika nichemshe maji, unaleta nakuondoka hata hukai...
Au basi... hahaha sawa nitaoga ya baridi... ole wako sasa... hahahaOga ya baridi
Au basi.. usioge..Au basi... hahaha sawa nitaoga ya baridi... ole wako sasa... hahaha
Huu ni umbea... ππAu basi.. usioge..
Vaa pendeza .. raba qali, jeans/ cadet bila kusahau moyo π
Aisee ππππππππMmeshaanza!
Tuache sisi ma last born tunajuana. Mmoja akibeba mboga mwingine anamwaga ugali...kha!
ππ raha sanaaHuu ni umbea... ππ
Koromeo muhimu wewe mtoto...ππ raha sanaa
ππ€π€π€π΄π΄ππKoromea muhimu wewe
Hapo sawa... Naomba nikupe moyo lakini...ππ€π€π€π΄π΄ππ
Utafumwa⦠na utaachikaushindwe
ππhakuna kiumbe anatoweka kwa kasi duniani kama mwanaumeView attachment 2233015
Ninayo mazungumzo na wewe...
π΄π΄ unataka kuendeleza unaniiHapo sawa... Naomba nikupe moyo lakini...
Au basi, nitakuamsha usiku wa manane...π΄π΄ unataka kuendeleza unanii