Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kaache hako kakurugenzi kangu kapendwa karembo. Katashangaa siku hiyo kutukuta tumekaa high table pamoja na wanafamilia. Ndo katajua kuwa kuongea sana siyo kujua kila kitu.

Kamanda P ni mtu wangu wa karibu sana na hataniangusha....
Kwahiyo utakuwa upande wa familia ya kamanda na siyo upande wa familia yangu?
 
Ma classmates wangu wana mavyeo makubwa lakini wanaringa hao. Si waniapishe tu jamani?
 
Kisukuma hicho, wanyaki ni mabonge [emoji1787][emoji1787]
Sijafika Uyole hivyo siwezi kukubishia ila wote waliomo humu JF ni vimbaumbau.....

Wewe, Saint Anne, Simara, Financial Services, Kelsea, Mumylove...

Labda mmeweka masharti kuwa kila binti wa Kinyaki akitaka kujiunga JF inabidi awe kimodo! [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…