Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Ndiyoβ¦ si sitting room aka sebuleni π€£Hivi umejua nini maana ya "living room", si ndio mtakua mumejianika, halafu picha mumenogewa kama mizimu ha ha ha!!
Ndiyoβ¦ si sitting room aka sebuleni π€£
Nitajitia uchizi, navumilia.
Hahaa nitafedheheka kwa wageni, na bwana pia atafedheheka πHa ha ha!! Hivyo wageni wote wawe wanakuona ulivyokunja uso kwa kunogewa, hiyo picha inanipa raha sana kila nikiiangalia.
ππππ