Ungangari na uchuma cha Mjerumani ulimwanzia wapi huyo mke? Ni nini kilitokea mpaka akaachana na haiba yeke njema iliyompambanua wakati wa ujana wake? Au tuwalaumu mabaharia waliomngangarisha? Naam! Maisha na mapenzi - mnyororo wenye pingili nyingi. Ua waridi lenye fumbo. Rosa Mistika!