Hakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi. Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu. Sasa...