Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ati; huyu binti kajiua (suicide) au kauwawa (homicide)? Kwa nini? Swali hili lilikuwa kwenye interview ya watu waliokuwa wakiomba kuwa maajenti wa FBI.....
View attachment 2105961

Kuawa, there is a sign of struggle around the room, which insinuates a scuffle.
Na pia mtu anayejilipua kwa bastola haiwezekani vidole vibaki vimeshikilia sigara kwa namna hiyo, hata bastola, ni dhahiri kawekewa mikononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…