Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ina maana Njombe Mgendera kila mtu ana hela au inakuwaje? Ila Wakinga kwa biashara nawaaminia [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Wanamcheka sana. Mara mtoto. Mara umasikini...kazi kweli kweli. Inaonekana hata yeye hakuwa makini kwa sababu kuna kipindi alikuwa anavuma sana. Na wenzake akina Uwoya mbona bado wanatamba tu na bata za kufa mtu? Yeye alikosea wapi?
Anajifelisha mwenyewe.
Ujuaji mwingi.

Ajiandae kuliwa mbususu na kila mtoto anayechipukia Kwenye sanaa.
 
Ina maana Njombe Mgendera kila mtu ana hela au inakuwaje? Ila Wakinga kwa biashara nawaaminia [emoji122][emoji122][emoji122]
Mkoa wa Njombe kuna Wamanda, Wabena, Wawanji na Wakinga na vikabila vingine.

Hawa "Wakinga" hawaupendi Umasikini.
Kwa hiyo wanachapa kazi kama vifoko.
Wakifanikiwa wanaambiwa wachawi.
Dunia haina jema
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eeh mwandulami tena[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…