Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aseee watu mnakauli tata
Ndio ukweli huo...wee waangalie walio olewa na kidumubkwenye ndoa...hawana tako🤣🤣🤣🤣🤣

Ata wanawake waliokuwa wanafaulu mashuleni nao walikuwa hawana tako au sura. Akitongonzwa january mtongozo mwengine july
Aseee watu mnakauli tata[emoji16]
 
Sasa na kama hauna tako na haujaolewa[emoji16]hii inakuwaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…