Vituko mitandaoni. Tupia chako

Pumbaaaaaav[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Nchi inapitia magumu sana,Imagine sasahivi tumeletewa Urio tena[emoji28]
CCM kitakapoachana na siasa za mitandao, makundi na ukanda, kitakuwa chama bora zaidi ambacho kitaiweka nchi kwenye nafasi stahiki.

Nasema hivyo kwasababu hivi sasa kwa kutumia siasa hizo kinajikuta kinajenga na kubomoa, kinajenga na kubomoa, kinajenga na kubomoa hadi utimilifu wa dahari. Sijajuwa kama labda aina ya siasa hizi ndiyo inafanya kiendelee kutamalaki nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…