Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,090
- 12,815
Kaka kaka kaka
[emoji39][emoji39][emoji39] njoo tushindne kuyashinda[emoji846]View attachment 2095984
[emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39] njoo tushindne kuyashinda
Shikamoo kaka msukuma...nimependa avatar yako naona mwaka umeuanza kimahaba-mahabaKuoneana huku na kupeana upside mh [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2096792
Shikamoo kaka msukuma...nimependa avatar yako naona mwaka umeuanza kimahaba-mahaba
Na senene pia wasisahau [emoji16][emoji16]
Kwa nini ka mwisho? Nitakuombea upate mwaka huu na wengine miaka ijayoMarahaba mai furendi...
Mungu Akipenda nataka nipate katoto ka mwisho mwaka huu. Niombee [emoji1545][emoji1545]
Ka mwisho ndiyo. Sitaki tena aisee...Nataka tuwili tu tunanitosha!Kwa nini ka mwisho? Nitakuombea upate mwaka huu na wengine miaka ijayo
Mungu akupe haja ya moyo wako mpendwaKa mwisho ndiyo. Sitaki tena aisee...Nataka tuwili tu tunanitosha!
Asante rafiki. Na wewe pia. Hebu ndoto zako nyingi na zikatimie mwaka huu. Naomba katika Jina kuu la Yesu Aliye Mwokozi wetu. Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mungu akupe haja ya moyo wako mpendwa