Vituko mitandaoni. Tupia chako

Steresi nyingine za kujitakia

View attachment 2081635
Hakuna stress wala nini.
Umempa mimba mke wako kosa liko wapi?
Heri umemgonga mke kuliko kwenda kufanya zinaa.
Kikubwa ni kuangalia namna ya kumpa uangalizi wa kueleweka huyo mtoto wa miezi tisa.
Hakuna kutoa mimba wala kudhalilika hapo.
Songa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…