Lkn usijue, ukijua mi nakwambia ni lazima utaumia tuNdio ukweli nyie lazima utatongozwa ni kitu ambacho its out of my control sasa unaumiza kichwa cha nini....wee muachie uhuru wake timiza majukumu yako kama kidume wake basi.
Yaani nisijue kuwa mrembo wangu anatongozwa!!?? Kwanza mie nagegeda pisi kali hivyo automatically najua kuwa wanatongozwaLkn usijue, ukijua mi nakwambia ni lazima utaumia tu
Ukiwa na hela huna shida ya kuoa mwanamke mwenyewe tuu anajileta unaishi nae na tunapoelekea wanawake watakubali tuu kidume uwe na wanawake wengiNa amuoi maisha yenu yote?
Uliyempenda namaanishaYaani nisijue kuwa mrembo wangu anatongozwa!!?? Kwanza mie nagegeda pisi kali hivyo automatically najua kuwa wanatongozwa
Ah wapi mie kumpenda mwanamke huo ujinga siwezi fanya kamweUliyempenda namaanisha
[emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wa jangwani wana mambo[emoji16][emoji16]
Umeshawahi kusikia habari za Mt.Faustina?.
Ya kweli haya[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe wasema.Unamheshimu
Brian deccon mkuu open ur mind plz
Tatizo yenu haya mnafanyaga kabla ya kuingia kwa ndoa...mkishapata ile pete tuu ubunifu wote mnatupa