Vituko mitandaoni. Tupia chako

Boss hii story inahusu ninii,na kwanini wakatane masikio?
Huyo jamaa (aliyebebwa) alihisi kuwa dem(aliyembeba) wake ako na mahusiano na mtu mwingine, alichokifanya ni kumkata masikio yote mawili na kuondoka nayo. Kisha alimtishia kuwa angemuua ikiwa atamwambia mtu kilichotokea hadi akatwe masikio....

Sumbawanga hio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…