Michelle98
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 673
- 2,066
amen, iwe kwako pia mpendwaHii ni moja ya familia yangu pendwa sana jamii forum,ni moja ya sehemu inanipa nafasi nyingine ya kufurahi na kutabasamu kila uchwao.
Nawatakia maandalizi mema ya sikukuu nyie na familia zenu. Mungu aendelee kuwa nasi daima tuuone mwaka mpya na ukawe wenye mafanikio zaidi kwetu.
Nawapenda sanaaaa.
View attachment 2055233
Madai yake kaweka chumvi.View attachment 2055254View attachment 2055256
Aaah, Generali amejitwalia mrembo[emoji120][emoji120]
......kataitiwa kwelikweli.
Wanaviitaga makirikiri
[emoji23][emoji23][emoji23]