wakulaumiwa ni yule slay queen coz alikuwa anajua tatatibu lkn kafosi tu kutegenea gender ingembeba au Ali target kuwachafua tff
Vitu vingine tusiweke ushabiki ndani yake taratibu tu zifatwe,hata km ni za ovyo lkn zifatwe kwanza then tutafute njia ya kupangua izo taratibu za ovyo lkn sio purukushani za namna hii.