Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kwa aina hii ya majibu sidhan km kwel ww ni msukuma labda km umechukua kabila la mom
Mkuu umenichekesha sana. Wasukuma kwani tukoje ndugu yangu? Mimi ni Msukuma kabisa orijino kwa baba na mama na nipo hapa Misungwi nalima nyanya na dengu. Siku ukizungukia mitaa hii nitafute nikuchinjie mbuzi.

Ni mambo haya ya ushamba tunayotaniwa mitandaoni humu ndo yamekufanya useme hivyo?...


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…