Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mhm hizo somjo hamna watu duniani wanaendekeza ngono kama wadhungu....cheki porn industry inavyopepeta ulimwenguni.
 
Mhm hizo somjo hamna watu duniani wanaendekeza ngono kama wadhungu....cheki porn industry inavyopepeta ulimwenguni.
Wazungu nimeishi nao sana nawajua in and out. Hata robo hawatufikii katika kudinyana...

Porn industry ni biashara ya mabilioni na wale wako vizuri sana kwenye biashara. Na wote unaowaona kwenye porn ni waajiriwa halali sawa tu na wacheza sinema wa Hollywood. Haina uhusiano na ethnic group.
 
Hahaha... Shimba am sure hujawahi kula tule tumshkaki twa miamia.. Vile vinyama vidogo vidogo vilivyo na utamu wake[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Mimi ni buludoza sichaguagi...ila chakula changu kikuu tangu nakua ni Yutong nyeupe ndefu zilizofungasha uwiii...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…