Vituko mitandaoni. Tupia chako

kumbe nilishaajiriwa na selekale na hamniambii. Tupo 60m. Ukitoa labda milioni 10 waliokuwa na ajira rasmi kabla ya samia tunbaki 50m. Toa watoto, wazee na wastaafu kwa kukadiria ni kama 20m. Wanatolewa wale waliojiajiri katika sekta binafasi (5m) tumebaki watz 25milion. Inamaana mpaka sasa kuna pengo la watu milioni kumi katika ajira. Mbna sijaitwa hata interview?
 
Don't try this at home

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…