Vituko mitandaoni. Tupia chako

Heri ya Siku ya Kuzaliwa kwa Dunia nzima. Leo kila mtu ana umri sawa. Chukua jumla ya umri wako na mwaka wako wa kuzaliwa, utapata 2021. Hii hutokea mara moja kila baada ya miaka 1000 kwa hivyo unapaswa kuwa na furaha kuiona Siku hii Kuu; km 37+1984=2021
 
Bikra watoe wapi?
Siku hizi hata hawazaliwi nazo.

Ila hawajachapwa kufikia level za Kina Mobeto,Wema na kina Kajala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama hawana bikira acha kujidanganya.
Kwa wakati tulionao wanawake wote lao moja.
Kinachokudanganya ni vile unasikia sana habari za hawa maarufu kuliko hawa wengine.
Lakini amini nakwambia, wanawake unaowataka sasa wamebaki wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…