Vituko mitandaoni. Tupia chako

Shahidi wa Leo kajieleza vizuri mpaka Jaji kamuonea Wivu Shahidi WETU wa ukweli kweli
Jaji :Nina wasiwasi Kuna mtu anamsaidia Shahidi majibu hapo
Wakili Msomi Dickson Matata:-Shahidi naomba umuangalie Jaji ili utoe wasiwasi kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…