Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Wamemkorofisha nini tena huyu mwamba mkwilima wa Obama?Aidha CCM sio Chama Cha kuniongoza Mimi DJ. DON NALIMISON, na Wala sio Chama Cha kunijengea NYUMBA Mimi DJ. DON NALIMISON. Tafadhalini uzeni na Pesa mkasomeshee watoto wenu. Sina mtoto Lushoto na Wala Sina mtoto Tanzania, wakati wangu wa kupata mke sahihi wa kunizalia mtoto bado haujafika. Na mtoto nitakaye zaliwa kwa mbegu zangu hawezi kurithi mitakataka yenu.
DJ. DON NALIMISON.
Njoo uchukue. Funguo ninazo [emoji16][emoji16][emoji16]SHIMBA YA BUYENZE natafuta gari kama hilo pichani[emoji1783][emoji1783]View attachment 2020936
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona hana mvuto [emoji15][emoji15]Anatafuta mchumba mweusi mwenye hogo. She is a millionaire...Katangaza kabisa laivu. Ana miaka mitatu hajaguswa wanaume wanamwogopa.
View attachment 2020997
Hahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2020985
Huyu sasa kiuno si kigumu kama peremende..[emoji23] na ole wako usimfikishe kiboAnatafuta mchumba mweusi mwenye hogo. She is a millionaire...Katangaza kabisa laivu. Ana miaka mitatu hajaguswa wanaume wanamwogopa.
View attachment 2020997