Nilitaka kukwambia ukitaka kampani huko ughaibun usinisau mimi hapa kutuma na yakutolea nije huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hi guys[emoji1367], I think November will be the last month for me to be in Tanzania, tutaonana kwa wale ambao tutaweza kuonana coz nimepata green pastures and I will be travelling to England on 6th DECEMBER. I will be gone for FIVE years and i will miss u sana pray for me & I will pray for you too. May God be with you all. Please forward to those who know me, ata mi nimeforwadiwa from those who know me sijui nani anaenda.[emoji23]
Na ndivyo ilivyo[emoji16][emoji16]View attachment 2020204
Hahahaha[emoji23]Tuanzie huku mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2020200
Naona kapona maana hiyo amepost leo.Amepona. Si alikuwa JK Heart Institute huyu juzi juzi hapa akisema "Niko 70% perfect you know. Executive Suite kwenye Jakaya Cardiovascular Institute you know. Gharama sana kuwa kwenye Executive suite you know. Vijana chapeni kazi you know. American spirit you know [emoji16][emoji16][emoji16]
Nampenda kwa jinsi alivyoamua kuishi maisha yake ukizingatia familia aliyotoka - hata kama ni mtoto wa nje...
Muone![emoji16][emoji16]View attachment 2020204
Magego yote yaani. Ungekuwa karibu yangu hapa ungeshangaa leo [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umefurahi mwenyewe
Bado napigania like yako mpendwa. Hata moja tu basi na roho yangu itapoa. Hujambo lakini? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]View attachment 2020219
Wanawake wa Zimbabwe ni pisi kali? Tusije tukaingia gharama za bure [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]fursa hiyo
Na comment juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake wengine bwana dah!
View attachment 2020220