Vituko mitandaoni. Tupia chako


Kwa sasa hivi niko huku Sudan Kusini kwa hawa watu, aisei wana sura ngumu sana na ukiwa mwoga mwoga hata kutoka nje utaogopa, ila ni wakarimu pia japo usijifany mjuaji, unaendana nao tu freshi.
Wenyewe wametokea maporini kwenye mavita vita, wakiznguana huliamsha popote, na hata kumzaba askari polisi kibao sio tabu kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…