Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Kulikuwa na shida gani kwenye hoteli ya kwanza? Msosi ulikuwa kidogo ama?Hii mimi imeshanitokea japo hakutokea mtu aliyeniona (au tuliyekuwa wote) kwenye mgahawa wa mwanzo lakini hakiyamungu nakuhakikishia huli kwa amani tena katika kujishtukia shtukia hata unaweza kuropoka
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Maneno ya mkopo hayo kutoka katika Kiarabu. Wenzetu huko wana uarabu arabu ujue hivyo haishangazi. Na lingua franca karibu zote zina tatizo hilo...Nilidhani nimemaliza kila kitu kwenye Kiswahili... ni mpaka nilipokuta kuwa jiko la mkaa linaitwa seredani ndipo nilipogundua kumbe sina nijualo
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kama ni mjanja na mautajiri yake aliyonayo, huu ndo wakati wa kusepa kwenda Ubelgiji.Kitu imejaziaView attachment 2012025
Watakuja kufa na huu utopolo. Nilimuona mmoja balbu imevunjikiamo wamemtanua wanajaribu kuichokonoa. Wakomae na matango tu japo nalo likikatikiamo yaweza kuwa shida
Siyo poa [emoji16][emoji16][emoji16]
It is about to go down [emoji97][emoji527][emoji527][emoji533]
Tulia kama seredani [emoji16][emoji16][emoji16]Hiki Sio kituko bwana
Sentensi moja typos kibao....[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]View attachment 2010936