Yan usithubutu kukutwa asee, acha kabsa "kula mbakishie baba" yaan unapigwa na haukomi bado unang'ang'ana hahahahah zaman watu tulikuwa wavumilivu π€£
Hii imenikumbusha juz nlikamatwa naendesha lori na sna leseni pale bago, loooh nlivurugwa jaman nilichanganyikiwa..........nlikaa lisaa limoja dooh! Hatmaye nkatoka woi walijua kunijambisha wale matrafki