Vituko mitandaoni. Tupia chako

Na hua mnatafuta nini huko kwenye ma dogy style?
Huu ufundi mwingi ndo kukosea na jia,na kuja kukosa hamu ya kula kwakupata kinyaa!!![emoji85][emoji85][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua barabara zipo nyingi na kila moja haikosi changamoto zake na raha zake[emoji23] kuna lami, kuna ya mashimo kuna za matope[emoji28]
 
Legendi[emoji23]
 
Mallya: Shahidi unaposikia neno terrorist ni Nini?

Shahidi: Ni ugaidi?

Mallya: Na terrorism?

Shahidi: Ni masuala ya utalii, anajibu shahidi na kuibua vicheko

Mallya: Ni kweli ulikwenda mpaka Labanon kusomea?

Shahidi: Ndio
#UpdatesKesiMbowe #MwananchiUpdates

[emoji1542]Huyu shahidi huyu, dah! mpe neno moja tu.[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…