Fact, ndo mn usaliti umezd kwenye ndoa.Ubunifu muhimu katika ndoa lah sivyo hamtadumu mpaka pale kifo kiwatenganishe
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2] punguza udaku ww. Mi kuku mgeniiiii
Nilishakwambia mimi huko utanikuta mbele kabisa huko na akina Musa na Daniel nikiongoza kwaya. Nitakupungia mkono [emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]Hufiki mbinguni
Unachukua mafuta unampaka mwenyewe. Tena unaweza kupitiliza ikageuka kuwa session ya sensual massage...anaweza kuiparamia Mawenzi kirahisi tu...ila awe sophisticated na aelewe kinachoendelea...wengine atagangamara utafikiri unataka kumchinja [emoji706][emoji706][emoji706]Sema mimi hua naumia sana ile amepiga dog style afu nakuta namna hii daah..[emoji31][emoji31]View attachment 1992139
Hapo ni kuhama tu tena kwenda abrodi kabisa ifu posibo!