Hii ni awesome idea lazima ifanyiwe kazi, hata 'mgeni' husika akiingia lazima ajue ameingia kwenye maskani ya 'shughuli' hivyo aombe kabisa maji ya kunywa ya kutosha yasiwe mbali na uwanja wa vita yaani yawe yanafikika bila kuharibu kindumbwendumbwe.
Kwa sisi ambao tayari tuko 'dabo' ukileta fundi atengeneze hii kitu lazima utaulizwa uliionea wapi, bora lawama lakini kwani ni mchongo mujarabu.