Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hatimae kaamua kutulia,now anaitwa mama amejifungua baby girl,ndio maana waswahili wanasema ukimchunguza sanaa ...... hutamla.
Nimechemka hapa,kunamahali walikuwa wanamuongelea Vera kujifungua nikachanganya mafaili.

Ili nilichoshangaa kumbe huyo sanchoka ni mtanzania aliyezaliwa Kilimanjaro?
Probably ni mchaga??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…