Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Ujumbe bora kabisa wa kumalizia siku. The true character of a man is measured by how he treats others who cannot repay him...na thawabu za kweli hupatikana kwa kusaidia wengine hasa ambao hawawezi kuturudishia fadhila hizo...Muwe na usiku mwema na mafanikio mema maishani,tusaidie watu,ila tusitegemee fadhila kwao.View attachment 1987806
Double entry !!!
[emoji23]Nauliza tu[emoji16]View attachment 1987774
Mimi mpaka leo ndiyo kula yangu. Tonge moja moja ni kupoteza muda tu!!![emoji23][emoji23][emoji23]