Vituko mitandaoni. Tupia chako

Matembele kutoka Meru KenyaView attachment 1980631
Nimekaa gheto moja miaka 2-3 na mwanangu mmoja wa kisomali hivi around 2012,alikuwa anakula hii kitu siku zote 365/365 lkn sikuwahi kushawishika kula hii,thnx God[emoji120]

Mida hii naandika hii comment ndo mida yake ya kuamka anoga[emoji370],anaswali[emoji2969]swala zote zilizompita,anakula[emoji492],akimaliza anaenda kutafuta zaga...awe na hela asiwe nayo atapata tu.

Akirudi gheto saa mbili usiku anasaga gomba[emoji263]mpk alfajiri,anaoga[emoji370]anaswali[emoji2969],anakula[emoji492],analala[emoji932](REPEAT)[emoji24]
 
Huo unaitwa uraibu.. Hilo jani limeondoka na ndugu yangu wa damu na rafiki wa utotoni..RIP Tino.. Kansa ya paa la kinywa.. Mzigo ulikuwa haubanduki mdomoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…