Hahaha yaani ujue kuna wanaume unaona kabisa huyu hana pesa ila anajitahidi kutafuta! Ila pops angu pesa anazo sema ndiyo mbahili kwenye kuhonga kuna comment niliona anasema ana mpango wa kuvuta Subaru Forester maana yake hana njaa ndogo ndogo sema tu ndiyo hivyo kuhonga kwake ni kipengele!
Kuna mpuuzi mmoja nilimsalimu akanyamaza baadae akaniita nikamwambia naona uko busy akajibu "nilikua naongea na watu nisingeweza kukujibu salamu yako."
Kuna mpuuzi mmoja nilimsalimu akanyamaza baadae akaniita nikamwambia naona uko busy akajibu "nilikua naongea na watu nisingeweza kukujibu salamu yako."