Vituko mitandaoni. Tupia chako

wakati nakuwa nilisikia kuna katazo la mbeya kutojengwa majengo marefu sababu ya tetemeko..
 
Hahaha yaani ujue kuna wanaume unaona kabisa huyu hana pesa ila anajitahidi kutafuta! Ila pops angu pesa anazo sema ndiyo mbahili kwenye kuhonga kuna comment niliona anasema ana mpango wa kuvuta Subaru Forester maana yake hana njaa ndogo ndogo sema tu ndiyo hivyo kuhonga kwake ni kipengele!
 
Hivi mnajua nyie wooote baba yenu ni mmoja!! Haya jifanye unajua sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…