Vituko mitandaoni. Tupia chako

Umeamua kumdalalia mama yako si ndio!! Watoto wa siku hizi[emoji2297][emoji2297][emoji24]
Aahh wacha tukutafutie tu baba mwingine tukugawe ili tupate hela maana baba wa Heaven Sent ulimkataa baba yangu naye umemkimbia! Hivi mababa wa Hazard CFC na Da'Vinci ni nani na nani? [emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
Hivi juzi aliona lile "beche"la pops ako? Haki atamrudia[emoji188][emoji188][emoji188]
Aahh wacha tukutafutie tu baba mwingine tukugawe ili tupate hela maana baba wa Heaven Sent ulimkataa baba yangu naye umemkimbia! Hivi mababa wa Hazard CFC na Da'Vinci ni nani na nani? [emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…