Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sisi kama nchi tunapitia wakati mgumu sana, niliwahi kusikiliza ibada flani cjui hata ya nani, mmama anasema tangu apeleke mtungi wake wa gas uombewe sasa ni mwaka wa tatu anatumia tuu
Sometimes miujiza inatokea tu bila hata maombi,familia yangu tumewahi kutumia mtungi wa Gesi kg 15 kwa miaka mitatu toka 2017 hadi mwaka Jana 2020,hata sisi ilitushangaza,maana huwa haivushi miezi 4 au sita ,japo matumizi yalikuwa kwa vitu vidogo vidogo tu.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini labla mlikuwa mnachemsha chai mara moja kwa mwezi
 
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita kesho Jumatatu, watarejea tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kuendesha genge la uhalifu na utakatishaji fedha inayowakabili. https://t.co/WEBfvA0tiL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…