Vituko mitandaoni. Tupia chako

Maelezo kidogo namna ya kuzitumia izo mbegu z mlonge na maboga

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Maelezo kidogo namna ya kuzitumia izo mbegu z mlonge na maboga

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app

kwanza hapo Dar niliona zilikua zinauzwa sana hizo mbegu za maboga, unatafuna kawaida kama karanga, kunaye alikua anaziuza hapo bandarini nilikua nampigia sana, namba zake hizi +255718533414 +255786743938
Kwa moringa sina namba za niliyekua nanunua kutoka kwake ila na zenyewe nzuri sana. Unatafuna kama tano kwa siku, na uwe na subra maana matokeo yake ni baada ya miezi kadhaa kama mitatu hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…