Vituko mitandaoni. Tupia chako

Usisahau tu kuwa pia mwatakiwa kula kwa jasho.
 
Byutifu kapo [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji8][emoji8][emoji8][emoji122][emoji122][emoji122]

View attachment 1974997
Unafanya hivi kesho unakwaruzana na mamlaka unapigwa mvua ukipewa chance ujitetee badala angalao useme mama yangu mzee sana ananitegemea unaishia kusema nina mchumba nimemchumbia nitakosa kumuowa ukifikiria wengine watakavyomfaidi.

Utetezi wa hovyo kabisa ulikuwa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…