Vituko mitandaoni. Tupia chako


🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sijui ni bangee amaaa......🤨🤨😆😆😆😆😆

Yaani huku anakata gogo vichakani akaona ajiselfie.....

Mara paaap kwenye camera yake anavyo jiselfie anaona mzee wa kutambaa aka nyoka anatoa ulimi wake kwenye hayo majani....

Sijui ataruka au atamaliza kwanza haja.....!!!🤨🤪🤪
 
Mbona nimekamatika [emoji23][emoji23][emoji23]mwenzako ukinitafuta makosa kwenye kiswahili basi hapa ndio kwao sijuagi vizur
Ndiyo maana SYB alisema huko juu kwamba Kiswahili na lugha zetu za kienyeji kwa warembo kama wewe ni mtihani.
Lugha zenu ni Kichina, Kispain, Kijerumani, Kifaransa, Ki Urdu nk.
Lugha za nyumbani Afrika tuachieni sisi Kabwela[emoji23]
 
Sio kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]mi naongea mpaka kimasai na kihadzabe
 
Chura wa dada zetu za nini ?
Chura za dada zinawahusu wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…