Vituko mitandaoni. Tupia chako

Yaani wewe sijui ni jinsia gani!!!!
Siku zote hizi umekomaa kurushiana vijembe na mwanamke hivi akili yako ikoje?
Unatia aibu sana! Mpaka Khantwe kakutuliza lakn umekomaa na vijembe..
Hayo ndio matatzo watoto Wa kiume mkiwa mnakua mnavalishwa kanga mkitoka kuoga ukiwa mtu mzima mnakuwa na vitabia vya kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…