Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hivi ukipata kale ka Tezi na mazoezi si ni ushauri wa madaktari!?
Katezi dume hakana uhusiano na mazoezi.
Tezi dume ni ugonjwa utokanao na umri kwenye njia ya uzazi ya mwanaume.

Mazoezi yanaimarisha kinga ya mwili hasa kwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama, kisukari, presha nk ambayo nayo yanatokana na umri na uzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…