Pemba wapo kibao na Tanga,tatizo hawataki kuolewa na mkristo tu. Hapo ndo wananikata maini. Nilimpata mmoja nikamdanganya jina,nilikua naenjoy mno,siku aligundua ndiyo siku ya mwisho kumsikia na kumuona.
Yaani alikua fiti kila idara aisee. Kasoro yake kubwa ilikua kudeka tu,ujue ile mideko mpaka inakera,ndo ilikua shida yake tu.
Sent using
Jamii Forums mobile app