Vituko mitandaoni. Tupia chako

Weee,awe mzuri aisee!!!
Sura nzuri,chakula kizuri,umbo zuri,tabia nzuri,kitandani awe vizuri,ili niwe mjinga wake jumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hv wanawake wa hv wapo kweli mzee?? Yaan mwanamke ambaye sura nzuri, anapika vzuri, ana heshma,,ktandani yupo vzur. Mana ukikuta anajua kupika basi sura ya babake,,,ukute ana sura na umbo zuri bas hajui kupika,,, yaani tafran knoma mzee
 
Pemba wapo kibao na Tanga,tatizo hawataki kuolewa na mkristo tu. Hapo ndo wananikata maini. Nilimpata mmoja nikamdanganya jina,nilikua naenjoy mno,siku aligundua ndiyo siku ya mwisho kumsikia na kumuona.

Yaani alikua fiti kila idara aisee. Kasoro yake kubwa ilikua kudeka tu,ujue ile mideko mpaka inakera,ndo ilikua shida yake tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…